GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,072
- 16,389
Mmh me popo jje's,Popo ni sita hadi
saa nane, bundi ni saa nane hadi kumi na moja.
Upo hapooo. Wewe utakuwa bundi ama popo
Bila shaka wewe ni mwenzagu.
Mmh me popo jje's,Popo ni sita hadi
saa nane, bundi ni saa nane hadi kumi na moja.
Upo hapooo. Wewe utakuwa bundi ama popo
Leo naanza na upopo kwanza,Popo ni sita hadi
saa nane, bundi ni saa nane hadi kumi na moja.
Upo hapooo. Wewe utakuwa bundi ama popo
Pamoja mkuuJamani muwe na usiku ulio mwemaaaa
Asante sana mkuu,mida ya popo ni kuanzia saa ngapi na bundi saa ngapi
NapitaMpo humu
mkuu bundi mzoefu ujueMmh me popo jje's,
Bila shaka wewe ni mwenzagu.
Safi chief, mambo vp?Salama bro, mamb vp?
KaribuLeo naanza na upopo kwanza,
Asante sanaKaribu
Khaaa nimeandika nini hapa.00:49
Usiku Mweny popoz na bundi
Mm nimekuelewa kipenzi usihofuKhaaa nimeandika nini hapa.
Jamani nisije nikaandika kitindiga na kihanzabe bure
Unapita unaenda wapi braza?Napita
Ndio maana upendo wangu unaongezeka kila dk. Nakupenda baby.Mm nimekuelewa kipenzi usihofu
Hapa nilipo jua la utosiNope it's a night
Still