Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Kama kawaida wengine tukilala SAA tatu asubuhi mtatukuta wagonjwaWoyoo,wapi wana wa JF
Kama kawaida wengine tukilala SAA tatu asubuhi mtatukuta wagonjwaWoyoo,wapi wana wa JF
Bradha hili mbn liko Wazi ,umeliona hata wewe eehNnaunga mkono hoja!!
Mwendo mdundoMpela mpela mpk kuchweee
Embu acha ukorofi, nitakuwa sikufundishi baadhi ya topic.mwambie ashuke akalalee...usiku huu ataumwa na nyoka uko

Hahaha UWaTSisi Umoja wa Walinzi Tanzania (UWAT) kwa pamoja tunalishukuru jukwaa hili kwa vile huwa linatupa kampani Sana!
......???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Halaf huku mashambani braza mpaka nikafike town. Inaweza nikawa tayari aliyewahi kuwa........
Jirani nilikuhamu nimekujaWee kichwa embu ukuje ninamazungumzo na wewe
Hongera yako mkuu,sie tunapuyanga tu humu ,kuwasindikiza wakali waoNina my lovely woman! Anaitwa Neybright i love her to death
Hakuna kulalaMwendo mdundo
HahahahaAiseee![]()
Hahaha huu ugonjwa huwa hata nikiangalia marudio kichwa kinatuliaAaah
Gem za kirafiki hazina maana
Lakin ni sawa tu uangalie
Hahaha ,sana aseeSisi Umoja wa Walinzi Tanzania (UWAT) kwa pamoja tunalishukuru jukwaa hili kwa vile huwa linatupa kampani Sana!
Na kwako pia.Muwe na usiku mwema popozz,
Eeeh basi mwalimu acha aendelee kuganda huko juuEmbu acha ukorofi, nitakuwa sikufundishi baadhi ya topic.
Sasa akishuka si atapotea hewani?![]()



Unaanza pale umeingia humu hafu unataka kuanza kusepaEeh nenda kw usalama lakin braza

mwambie ashuke akalalee...usiku huu ataumwa na nyoka uko