Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
kupumzika tu chiefAcha uzembe unakimbia wapi mzee baba
kupumzika tu chiefAcha uzembe unakimbia wapi mzee baba
Kwema kabisa mkuu, nimeona unaangalia game nikasema nisikusumbue.Isije ikawa umefungwa huko ukanitolea hasira mimi.



Hamna hamja amua tuu.Hongera yako mkuu,sie tunapuyanga tu humu ,kuwasindikiza wakali wao
Aargh ,futa,delete kabisaHoja yenu ni dhaifu spika ameonelea ifutwe
Haya mambo hayataki haraka.Hahaha, mie siku nyingi najua hili ,huko nimewaachia wenyewe
Hahaha katika mpira hiyo ndio inaleta msisimko katika ushabikiKwema kabisa mkuu, nimeona unaangalia game nikasema nisikusumbue.Isije ikawa umefungwa huko ukanitolea hasira mimi.
Pamoja mankupumzika tu chief
HahahahaHahaha huu ugonjwa huwa hata nikiangalia marudio kichwa kinatulia
Jina tuu linatishia, imagine Kichwa Kichafu kafungwa.
Mpk sasa tuko vidume wenyewe tu,na ukichunguza ni hatuna totoz maana tungeulizwa 'baby hulali?Hamna hamja amua tuu.
Mi skubali
Haya sasa upate muda wa kupumzika my love upate na maji mengiKwa leo nipo poa wangu, asanteh kwa kujali mpenzi
Hahaha, mie siku nyingi najua hili ,huko nimewaachia wenyewe
Haya pumzika kaka maana hautakiwi kushindana na mwiliuchovu wa mwili na akili
HahahahaAargh ,futa,delete kabisa
Hahaha Ila ndio zinapanda katika kiwango cha FIFA yaani kuzi rate.Hahahaha
Mimi kwa kweli namlaani aliye ziweka hizi int friendlies.
Club futbol ndio kila kitu
Huu uzi zamani kina dada walikuwa wanakuja sku hizi wame epaMpk sasa tuko vidume wenyewe tu,na ukichunguza ni hatuna totoz maana tungeulizwa 'baby hulali?
Hunanishawishi brazaHahaha Ila ndio zinapanda katika kiwango cha FIFA yaani kuzi rate.
Pia kuna wachezaji ambao wanakamia ili waweze kuwa first eleven kwenye kombe LA dunia zipo poa man