Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
BroKwema mkuu habari lindoni huku?
BroKwema mkuu habari lindoni huku?
Woyooooo!Leo full kamshangwe ,full high day
Nazisubiri kaka,.mwaka usipite huu bwanaaMungu mwema nyakati njema zitarudi tenaaa
Wallet inasoma?NDIO

Nini haki yangu kumsifia mke wa kaka/ dogo ujue
Naam mkuu
Kuna game ganPopo Leo wapo nitarudi nikimaliza kucheck game hapa
Shemu languNipo poa kwakweli namshukuru Mungu. Ngoja tukeshe tuu leo
Hahaha kama kawaidaaaNipo poa kwakweli namshukuru Mungu. Ngoja tukeshe tuu leo
Woyoo,wapi wana wa JFWoyooooo!
Hali yangu kama yako laazizi. Umepotea sana waubaniVipi hali mpenzi?
Ni ngumu mkuu, mimi huwa mpendwa sana wa viumbe hawa, kibaya zaidi SALAMU zangu ni hug+kiss![]()
![]()
![]()
![]()
Khaaa! Kuwa makini kwenye kusifia
kusoma nini?Wallet inasoma?![]()
Mkuu kuna siku natamani tutete Mungu akitupa kibaliNaam mkuu
Imetuna???kusoma nini?
