Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
[emoji9][emoji9] i love you more babeUsijali,.Nakupenda Darling[emoji8][emoji8]
[emoji9][emoji9] i love you more babeUsijali,.Nakupenda Darling[emoji8][emoji8]
Naam shemu, mimi buheri wa afya[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mzima wewe?
Kweli kabisa maana wikiend hamna majukumu mengi na muda wa kuamka ni wa kawaida sio kama siku zingineHabari kibaba
Weekend leo watu nawaona ona
Za kirafiki international.Kuna game gan
Wapi wana usiku wa mananeeeWoyoo,wapi wana wa JF
[emoji137] [emoji137] [emoji137]Nipo poa kwakweli namshukuru Mungu. Ngoja tukeshe tuu leo
Mpela mpela mpk kuchweeeWapi wana usiku wa mananeee
Nipo mpenziHali yangu kama yako laazizi. Umepotea sana waubani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni ngumu mkuu, mimi huwa mpendwa sana wa viumbe hawa, kibaya zaidi SALAMU zangu ni hug+kiss
AaahKweli kabisa maana wikiend hamna majukumu mengi na muda wa kuamka ni wa kawaida sio kama siku zingine
nyoosha sentesi nikuelewe chief...[emoji41][emoji41][emoji41]Imetuna???[emoji23]
Wee kichwa embu ukuje ninamazungumzo na wewePopo Leo wapo nitarudi nikimaliza kucheck game hapa
AaahZa kirafiki international.
Argentina vs Netherlands
Germany vs spain
Portugal vs Egypt
France vs colombia
Zipo nyingi blaza
True trueAaah
Eeeh ki ukweli no excuses
hivi usiku wa manane unaanziga saa ngapi braza?Wapi wana usiku wa mananeee
Eeh nenda kw usalama lakin brazaMpela mpela mpk kuchweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kusoma nini?
[emoji2][emoji2][emoji2]Hali yangu kama yako laazizi. Umepotea sana waubani
Saa 7-9hivi usiku wa manane unaanziga saa ngapi braza?