Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Mpatanishi, nakuomba kwa niaba ya wanajumia wa usiku wa manane uwapatanishe watu hawa tafadhaliYamekua hayo? Yaani hauna hata habari moja ya ICE
Mhhhh [emoji26]
Mpatanishi, nakuomba kwa niaba ya wanajumia wa usiku wa manane uwapatanishe watu hawa tafadhaliYamekua hayo? Yaani hauna hata habari moja ya ICE
Mhhhh [emoji26]
[emoji126][emoji126][emoji126] ndio maana nakupenda mwaliimu wanguAhahahaaaaaa
Itabidi niliwasilishe hili swala kwenye kikao ikibidi itengwe bajeti kwa ajili ya pesa ya kununulia mitumbwi
Oooh anaweza asirudi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] akuuu nimemzoea Miller Wangu akiondoka ntavumilia[emoji13] [emoji13]
Naomba ujue mwaalimu tafadhali saaanaSijui hata
Mie nashindwa kuelezea kabisa, rafiki yake Miller ndio shahidi katika hiliKafanyaje tena gentleman wa kijiji?
[emoji20][emoji20][emoji20]Yah nendeni chumbani
Siku akiondoka niite
Tabu ni pale mwl.anapokuwa mwanafunzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi bwana hayana fomula etinjoo kwa mwaaliimu Ney,
Iceman juzi amejua kuuponda moyo wangu, kwa kifupi niliumia sana rafiki yangu acha tuu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji126][emoji126][emoji126] ndio maana nakupenda mwaliimu wangu
Lazima arudi,hawezi niacha nitesekeOooh anaweza asirudi.
Kuzoea utazoea tuu.
kivipi Thad [emoji3][emoji3]Tabu ni pale mwl.anapokuwa mwanafunzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi bwana hayana fomula eti
Huyo mwanafunzi wangu, hamna neno kabisaWe mwana weeee chonde chonde...nasema chondechonde 3D akiliamsha dude mie sifanyi tena upatanisho...usiwashe moto kama hauna kikosi cha zima moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvuuu,..ngoja aje cha ukorofi wetumumu kama ameliweza hilo la kumpiku Mzigua itabidi aandaliwe tuzo kama sio ngao.
Okey maaUsimruhusu kulala, kuna jambo nataka ninene naye kwanza
kwanini asirudi?[emoji20][emoji20]Oooh anaweza asirudi.
Kuzoea utazoea tuu.
Mie nashindwa kuelezea kabisa, rafiki yake Miller ndio shahidi katika hili
Akirudi poa,Lazima arudi,hawezi niacha niteseke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kumbe wewe ni mpatanishi? Mbona hukunipatanisha kwenye basi wakati nagombana na konda kuhusu chenji yangu wakati tunatoka arusini? [emoji5][emoji5]
Majukumu kumzidia.kwanini asirudi?[emoji20][emoji20]