Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,655
Mbona mara?good night popoz.....nitarudi kufunga mageti
Mbona mara?good night popoz.....nitarudi kufunga mageti
AhahahaaaaaaMaji bado yamejaa mwaaliimu![]()
ndugu yangu Ice bado anaugulia kuchanganya mambo...ila lazma akujie Mwalimu, natumaini utamsikiliza...Tumuulize rafiki yake Miller
Hebu mfanye muunganeKumbe na wewe mibashara kama hii inakupa tabu kama mimi?![]()
Tumuulize rafiki yake Miller
Eeh,naww basii tunaenda chumbaniOh! Mtanikimbiza hapa sasa hivi...maana mimi nina aleji mibebishano![]()
MhhhhMmmh! Mbona kama paka kalalia mafiga? Kuna usalama kati yenu kweli?![]()

Hivi kumbe wewe ni mpatanishi? Mbona hukunipatanisha kwenye basi wakati nagombana na konda kuhusu chenji yangu wakati tunatoka arusini?We mwana weeee chonde chonde...nasema chondechonde 3D akiliamsha dude mie sifanyi tena upatanisho...usiwashe moto kama hauna kikosi cha zima moto


network imekata kipenziMbona mara?
njoo kwa mwaaliimu Ney,Mkubwa nipige twisheni basi hizo cheche na swaga inachukua muda gani kufuzu?
Sijui hatandugu yangu Ice bado anaugulia kuchanganya mambo...ila lazma akujie Mwalimu, natumaini utamsikiliza...
Nendeni tu kwa kweli....Eeh,naww basii tunaenda chumbani

Iceman juzi amejua kuuponda moyo wangu, kwa kifupi niliumia sana rafiki yangu acha tuuYamekua hayo? Yaani hauna hata habari moja ya ICE
Pole, njoo nikukopeshe network yangunetwork imekata kipenzi
Yah nendeni chumbaniEeh,naww basii tunaenda chumbani
Basi usiondokeee,..ngoja sie tukamalizie kunako husikaNendeni tu kwa kweli....
Hapa mwanitia wazimu![]()
hahahaJamani hayo mahaba taratibu mtatuua wengine..sio kwa huo mubashara.



sawaaaaPole, njoo nikukopeshe network yangu
Yah nendeni chumbani
Siku akiondoka niite
akuuu nimemzoea Miller Wangu akiondoka ntavumilia

Iceman juzi amejua kuuponda moyo wangu, kwa kifupi niliumia sana rafiki yangu acha tuu