JamiiForums Usiku wa manane
carbamazepine , Kichwa Kichafu. , Iceman 3D naomba mje mfute hii kesi haraka, sitadai fidia yeyote. Naomba Maserati aarifiwe kwamba kingzard hana kiwango cha kuiendesha hii kesi. Khantwe apewe ujumbe kwamba sina kesi ila am not available, maamuzi ya mahakama hayana manufaa yoyote kwake. Mfungua mashitaka Thad athibitishe na kukubali kuifuta hii kesi.
 
Tumewasili kama wakili mtiifu tunamashaka huu utenguzi je umepewa vitisho au umetoa vitisho?

Tunamsubiri Thad aseme hili
 
Back
Top Bottom