sungura mweusi
Member
- Mar 6, 2018
- 57
- 65
Yani tunakuwa na maamuzi ya kipuuzi sana mda mwingine , yani nilikua na protector kabisi nilivyoona wajerumani wapo mbali nikavua gwanda sasa hivi najilaumu sana kwa mistake ile.Wee acha tu mungu atusaidie.
