Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,252
- 90,446
Zingatia mudajamani nafunga mageti naona wote mshalala
Zingatia mudajamani nafunga mageti naona wote mshalala
NishapoaPoleeee
Safi brazaIce mambo vp mkuu.
HahahahahaaaaaaHahaha
Yule afande muhuni anawahi kulala kwanza
Halaf asubuhi ana kiamsha had daa moja
Mliolala mmeamkaje?
Naona hujatoka lindo bado. Maji yako bafuni tayari.Kwa waliolala watajibu wakiamka, mie bado nipo bomba.
Hatujambo shikamooMliolala mmeamkaje?
Naona hujatoka lindo bado. Maji yako bafuni tayari.
Kigoda na kisosi unataka kuogeshwa na dada au?Wee endelea tu kunivuruga, utakipata unachokitafuta. Mahondaw kaharibu sana kusema wagombanao ndio wapatanao.
Hayo maji umetia iliki na mdalasini? Kuna kigoda na kisosi?
Kigoda na kisosi unataka kuogeshwa na dada au?
Nimeweka mdalasini iliki pilipili manga. Ukitoka hapo unanunia kama chai ya waarabu my love
Asante na kwako piaHapo si utanila kabisa? Nikutakie siku njema
Umetoboa hadi moning brother
Nilipigwa BAN jana majira ya saa4 usiku bila kuambiwa kosa, imeniuma sana
MarahabaaaaaaHatujambo shikamoo