Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Teh teeeh nkuulize ww..mimi ndo kiongozi wao nlikua likizo tuHii umewahi kuwepo huku?
Teh teeeh nkuulize ww..mimi ndo kiongozi wao nlikua likizo tuHii umewahi kuwepo huku?
Ndo ukafungua kabla sio haya karibu sanaNimewamiss humu ndani
Braza za sku nyingi?Namie nimekumiss wewe
Leo treni imeondoka mapemaaaaMbona kama dude limeamshwa pamema leo?
Haina kuremba tunaingia weekend lazima dude liamshwe mapemaaaMbona kama dude limeamshwa pamema leo?
Na utafunga pia au sio?Haina kuremba tunaingia weekend lazima dude liamshwe mapemaaa
Ndio sabbu nimewahamNdo ukafungua kabla sio haya karibu sana
Weeee ivuga tuu ndio sikumgusa japo alitoa mrejesho wa kukufungia kwa muda usiojulikana,.muulize hata mjr95,demiss na.........,Mbona hukunitafuta![]()
..niliitekwa
Ha ha haaa nimeonaLeo treni imeondoka mapemaaaa
Kama kawaaaNa utafunga pia au sio?
HahahaHa ha haaa nimeona
Mmh anifungie yule chizi anawezaWeeee ivuga tuu ndio sikumgusa japo alitoa mrejesho wa kukufungia kwa muda usiojulikana,.muulize hata mjr95,demiss na.........
HahahahaTeh teeeh nkuulize ww..mimi ndo kiongozi wao nlikua likizo tu
Hahahaaa basi alisema mnapeana mema ya nchi tuu huko mlipoMmh anifungie yule chizi anaweza