Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Duuuuuh. HatariNipo mbona tena sana, ela kuhesabu wapii siku hizi zinaishia huko huko kabla hazijafika mikononii....
Duuuuuh. HatariNipo mbona tena sana, ela kuhesabu wapii siku hizi zinaishia huko huko kabla hazijafika mikononii....
Sawakaribu
Waiter wa zamu,nipo kukusikiliza utatumia nini usiku huu?OMG! Am happy for you
Watu nlo waacha bado wapo kwel humu?
Santeeeeekaribu
I'm fine my dear!Hahahaha!
The cool girl Thad!
You gud?
Nlitekwa na watu waso julikana nikajikuta nimezindukia Congo drc.I'm fine my dear!
Ulipotelea wapi rafiki?
Asante kwa ukarimu, Maji (siyo ya baridi) yatanitosha.Nipo kukusikiliza utatumia kinywaji gani usiku huu?
Kwann Demiss?Wacha nihangaike nikalale maana duuh umenikimbiza kwa kweli usiku mwema
karibuuAsante kwa ukarimu, Maji (siyo ya baridi) yatanitosha.

ni kawaida lakini, majukumu hayakimbiliki MaseratiDuuuuuh. Hatari
Nipo mbona tena sana, ela kuhesabu wapii siku hizi zinaishia huko huko kabla hazijafika mikononii....
Asante my dearkaribuu
Wewe kila comment Gudume GudumeKwann Demiss?
Ni kweli,hayakimbiliki kabisani kawaida lakini, majukumu hayakimbiliki Maserati
Karibu,utatumia kinywaji gani Leo usiku?kidogo kumechangamka humu leo