Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Mambo??? Jana mlipotelea wapi mpaka nikaenda zangu kulala kwa lazimaNipo
Mambo??? Jana mlipotelea wapi mpaka nikaenda zangu kulala kwa lazimaNipo
Upo na sasa?Nipo
Nilikuwa nakutingisha tu Hanshaaamy wanguUnaenda wapi cha madeko wangu![]()
![]()
Nakaribia leoTupo karibu
Nilikuwepo naomba muwafikishie salam zangu
Thad
Inna
Ney
Jje's
Cha madeko wangu.
Waambieni kwamba nimewamiss. Nawatakieni yote usiku mwema.



rudi hapa baba nideke kidogo kabla simu haijazimaNdioo. Karibu sanaKumbe muda huu mnajificha huku?
na leomaserati
Wewe mbna kama Beira boyShauria yako na hii baridi atakuachiaa saa kumi na moja
Asante sanaNdioo. Karibu sana
Poa. Mambo vipi?Nakaribia leo
huelewi muandiko niniWewe mbna kama Beira boy
Fresh..Poa. Mambo vipi?
Hii ndio mida ya popoAsante sana
Ya kwangu ina 14%. Kwema?rudi hapa baba nideke kidogo kabla simu haijazima
Yo love heels?View attachment 707262
Vua hivyo viatu vaa hivi tuendeleze gurudumu
Ya kwangu ina 14%. Kwema?

Sana ila tu ndo ngoko za miguu huwa zinauma balaaaYo love heels?
Yeah. Hali ya hewa leo inashawishi21%tukalale tu Hanshaaamy wangu etiii ehhh
