GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,705
- 18,088
Poleni mlioachwaWengine tuko kwenye mikesha,wengine pia tumeachwa[emoji4]
Lakini najiulizwa unaachaje kipindi(baridi) kama hiki
Poleni mlioachwaWengine tuko kwenye mikesha,wengine pia tumeachwa[emoji4]
Sina vituko mm sjui jinsia yako ngoja kwanza nikafukue makabur nitapata jib nilete[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una vituko wewe!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] what!?
Napenda sana,Hupendi kwani tulale?
Aiseeeeh kidogo nikutokee piemu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una vituko wewe!
Hichi ndio kipindi cha vibuti sasa,..kama huna plan B ndio basi tena,.[emoji4]Poleni mlioachwa
Lakini najiulizwa unaachaje kipindi(baridi) kama hili .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha naipenda kweli.[emoji23] [emoji23] naona watu wanapigiana ala tuu,...hahaha sijui vibabu vileee aah hebu ntumie kwanza
tehteehh....[emoji12] [emoji12]Hichi ndio kipindi cha vibuti sasa,..kama huna plan B ndio basi tena,.[emoji4]
Umekumbatiwa eeh??[emoji28] [emoji28]tehteehh....[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana mbona wafukua hili kaburi langu? [emoji126] [emoji126] [emoji126]Aiseeeeh kidogo nikutokee piemu
Niakajua wewe handsome
Upweke mbaya, natafuta marafiki
[emoji3][emoji3]
Kumbe hali ndio hiyoHichi ndio kipindi cha vibuti sasa,..kama huna plan B ndio basi tena,.[emoji4]
Hahhaah,..hebu niambie ww unapenda ielewekeje??maana mmmh!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha naipenda kweli.![]()
Hapana mkuu, kazi ya ulinzi haina adabu wallah maana kumbato nalisikiaga tu kwawengine ....[emoji29] [emoji29] [emoji29]Umekumbatiwa eeh??[emoji28] [emoji28]
Hapo ndio utapoelewa maana ya usemi wa makungwi kuwa, 'mwanamke kidumu'Hichi ndio kipindi cha vibuti sasa,..kama huna plan B ndio basi tena,.[emoji4]
Ohooo.....hahhaahaha....sasa ulikuwa unanicheka au ulikuwa unajicheka!??Hapana mkuu, kazi ya ulinzi haina adabu wallah maana kumbato nalisikiaga tu kwawengine ....[emoji29] [emoji29] [emoji29]
Angekumbatiwa angepata nguvu ya kuwa hapa?Umekumbatiwa eeh??[emoji28] [emoji28]
HakikaaKumbe hali ndio hiyo
Basi tulifute tu hakuna namna hata mm ninalo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana mbona wafukua hili kaburi langu? [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Nilikua nafurahia kifo cha wengi, kinakuaga kama harusi....[emoji13] [emoji13]Ohooo.....hahhaahaha....sasa ulikuwa unanicheka au ulikuwa unajicheka!??
Mtakuwa mnachekana nyie sio bureOhooo.....hahhaahaha....sasa ulikuwa unanicheka au ulikuwa unajicheka!??