Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Yani ni hiviiiii[emoji91][emoji91]Nn tens jmn
Mbona hiviii
Yani ni hiviiiii[emoji91][emoji91]Nn tens jmn
Mbona hiviii
Mimi ntakula ndizi choma 2 na samaki wa kuokwa [emoji39] [emoji39] [emoji39]Nimeshafika mnakula nini?
Ugonjwa wangu huooo...Mimi ntakula ndizi choma 2 na samaki wa kuokwa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nimemiss sura zako ameizinggg chiefHivi jje's barua yangu uliifikisha kweli?
Mbona sipati majibu? Au ulifika na kumkabidhi wifi yako (mkewe), sasa imeleta kizaa zaa?
a et naingilia mambo take, acha nimuite aseme mwenyeweHivi jje's barua yangu uliifikisha kweli?
Mbona sipati majibu? Au ulifika na kumkabidhi wifi yako (mkewe), sasa imeleta kizaa zaa?
Oooh! Shukrani, kesho ntazirudisha nilitaka Demiss atambue jinsia yangu tuNimemiss sura zako ameizinggg chief
Wengine tuko kwenye mikesha,wengine pia tumeachwa[emoji4]Naona leo ke mpo wengi ,kulikoni?
Naona leo ke mpo wengi ,kulikoni?
Hii ni ishara kuwa wanawake tunaweza pasipo kuwezeshwaNaona leo ke mpo wengi ,kulikoni?
Ahaa,sawasawa mkuu!!!!Oooh! Shukrani, kesho ntazirudisha nilitaka Demiss atambue jinsia yangu tu
Pole dear!Ugonjwa wangu huooo...
Yaani nina njaa utafikiri siku dine
Uko na nn sasa best?Balimi nishaziacha naona zinanikosesha wachumba hapa....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Picha zenyewe unazielewaga lakini? Au na wewe unaonaga vikongwe tu kama wengine [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaa,sawasawa mkuu!!!!
Umenichanganya mkuu kumbe wewe ni meOooh! Shukrani, kesho ntazirudisha nilitaka Demiss atambue jinsia yangu tu
Siku hizi nakunywa togwa tu, maana sina wa kuninunulia sodaUko na nn sasa best?
[emoji23] [emoji23] naona watu wanapigiana ala tuu,...hahaha sijui vibabu vileee aah hebu ntumie kwanzaPicha zenyewe unazielewaga lakini? Au na wewe unaonaga vikongwe tu kama wengine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una vituko wewe!Umenichanganya mkuu kumbe wewe ni me