JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ujanja wangu mfukoni leo jamani naogopa radi mimi. Nimeamua kuvaa sunglasses na umeme hakuna leo hata wachawi wakija watakimbia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna yule jamaa alisema amekabwa usiku na mshana Jr akiwa amevaa sunglasses.....kwa mshana Jr hapo hujasaidia kitu ndo mida yake hii
 
8fed180574c3be48d03468e7cccd542f.jpg

Upendo mubashara jaman

I love u Hb wa kigogo

My hanshaaamy
Asante. Nakupenda pia
 
Back
Top Bottom