Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Mwache apitwe na mambo matamuMpwa amesema yeye na vitu vichungu mbali mbali
Mwache apitwe na mambo matamuMpwa amesema yeye na vitu vichungu mbali mbali
Mtakuwa mlipishanaThikumuonaa
Mwache apitwe na mambo matamu
Atatukuta...Atakuja mwezi ujao tena
Jumapili? Hivi kumbe Mwifwa unaka sayari nyingine kabisa?Shemeji jumapili yako ikoje?
Duh nakumbuka enzi zileHivi kinachowafanya muogope ni nini?
Mzeee ushapata kinywaji kwa KikulachoChako?tehteehh.....![]()
![]()
Kwani leo jumapili?Jumapili? Hivi kumbe Mwifwa unaka sayari nyingine kabisa?
Iko level bin horizontalShemeji jumapili yako ikoje?
Huo utamu wa mwilini siutaki, raha ya utamu uanzie kwenye viungo vya hisiaMwache apitwe na mambo matamu
Hajui kuwa kuna vitu vingine ni vichungu mdomoni lakini ni vitamu mwilini

Ombi linaweza kataliwa ukajihisi huna thamani.Hivi kinachowafanya muogope ni nini?
Ulikuwa unaogopa?Duh nakumbuka enzi zile
Sijawahi kufanya hivyo, kwa hiyo sina jibu sahihiHivi kinachowafanya muogope ni nini?
Naogopa nini?Ulikuwa unaogopa?
Vitu kama vipi hivyo mkuu?Hajui kuwa kuna vitu vingine ni vichungu mdomoni lakini ni vitamu mwilini
Naweza watembelea huko tukipata moja mbili kwa hisani yangu sio mbaya ila nitakuwa naondoka siku hiyo hiyoIko level bin horizontal