mahugijafarAzzubayr
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 202
- 156
Mambo VP wana
Fresh Inna. Mambo yanaendaje?yatapita tu usijipe stress sana
yanaenda kawaida.Mungu anatusaidiaFresh Inna. Mambo yanaendaje?
yanakwepo sababu ya kutofautiana vipato, ubaguzi, majivuno, kujiona your better kuliko mwingine.Hivi ni kwnn duniani kuna matabaka?
Matabaka yapo ya aina nyingi, unaongelea matabaka ya nini?Hivi ni kwnn duniani kuna matabaka?
Vizuri. Mwezi mtukufu huuyanaenda kawaida.Mungu anatusaidia
mwezi wa tobaa..karibu tutubu dhambi na kumrudia MunguVizuri. Mwezi mtukufu huu
Kiuchumi mkuu,Matabaka yapo ya aina nyingi, unaongelea matabaka ya nini?
Asante sana. Ubarikiwemwezi wa tobaa..karibu tutubu dhambi na kumrudia Mungu
Nadhani hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, wote tukiwa nacho maisha hayataenda mkuu.Kiuchumi mkuu,
Nipo mkuuJje's