JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkimuona mwifwa huko mambieni aje azime hili feni lake limekatika shingo. Nimekoma kulala magendo feni kelele kama helicopter
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahahaaaa

Nipo hapa getini, umepita hujaniona.

Fanya kubonyeza swichi ya umeme utaona na yeye italala
 
Back
Top Bottom