Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Kwa hiyo asipokuwepo ndio wasaa wa kwenda dukani!?Niko kiduka cha mangi ,mama watoto hayupo
Kwa hiyo asipokuwepo ndio wasaa wa kwenda dukani!?Niko kiduka cha mangi ,mama watoto hayupo
Yaani sina mkuu,shtukaKwa hiyo asipokuwepo ndio wasaa wa kwenda dukani!?
Huku kama kawa kama dawa notifications tunareceive mkurugenziNaona nimekatiwa notifications, kwa upande wenu huko vipi??
Kumbee..Yaani sina mkuu,shtuka
NnMangi niongezee
Oky usjali kesho nitakufundishaMimi hicho kipaji kilinipita kushoto kabisa..
Labda unifundishe....
Yap,karibu kiduka cha mangi hapa,tupige story na walinzi jamiiKumbee..
Nimeanza kuzipata ila kwa shida labda mtandao ndio kikwazoHuku kama kawa kama dawa notifications tunareceive mkurugenzi
MhNiko kiduka cha mangi ,mama watoto hayupo
Safari lager
SawaOky usjali kesho nitakufundisha
Mbn unaguna bibie?
Tukienda huko kwa mangi hapa lindo tutamuachia nani...Yap,karibu kiduka cha mangi hapa,tupige story na walinzi jamii
Hoi tena?Jaman mm nalala maana nipo hoiii mpaka siwez kuchat
Usiku mwemaJaman mm nalala maana nipo hoiii mpaka siwez kuchat
Hahahaha, SAA hz hawaibi mida mibovu kuanzia SAA tisaTukienda huko kwa mangi hapa lindo tutamuachia nani...
Unacheka mkuu,hy ndio mida ya kazi kazi ,SAA hz unamsoma tu korokoloni
Kweli lazima uwajibike kwa kazi yako..Unacheka mkuu,hy ndio mida ya kazi kazi ,SAA hz unamsoma tu korokoloni