JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkimuona mwifwa huko mambieni aje azime hili feni lake limekatika shingo. Nimekoma kulala magendo feni kelele kama helicopter
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwifwa mwandiko mzuri wote kule kumbe unalala chini ya feni bovu linanguruma kama jenereta??!!!
 
Back
Top Bottom