Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Dogo upo
Rebekhaaa kipenz changu
Rebekhaaa kipenz changu
Subalkher mpenziRebekhaaa kipenz changu
Nipo na GudumeUmenitupa,nakuona sehemu uko na mtu
KabisaaaKwel kila mtu na ntue
Mamiye cheka wa raha zako
Haya bana,mie nakula kwa macho ,nashika mapembeNipo na Gudume
mtani tuheshimiane ban aDogo upo
Amenifanya niwe kichaaaaa kwa ajili yakeHaya bana,mie nakula kwa macho ,nashika mapembe
Subalkher mpenzi
Hali yangu kama yako sijui huko utokapoWajionaje laaziz 🙂
mtani tuheshimiane ban a
Ki vip tena nduguPoa san rafk angu...naona uko vzr
Sawa ,kwani nimebisha? NimenyooshaAmenifanya niwe kichaaaaa kwa ajili yake
,kiroho safiKitoto cha shilawadu kwenye ubora wako naona umepew Wosia umetulia tuliKabisaaa
Ukistaafu na mimi na staafuHumu nakaribia kustaafu
Afya si nzur! Au bado inayumba yumbaKi vip tena ndugu
Hehee...mamboMm nilipoteaga humu kuna li sugar mumy aliniteka
Nmekumiss ujue kitambo sijaona fujo zakoHii tabia hujaacha tu?