Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Hadi usiku?
Valentine nilikua kansan napakwa majivu
Valentine nilikua kansan napakwa majivu
Wawaonaje wazaz nyumban hutokeapoHali yangu kama yako sijui huko utokapo
Thad naona ana majukumu
Pole sana umepima lakinMm nilipoteaga humu kuna li sugar mumy aliniteka
Zawadi yangu ya valentine???Wawaonaje wazaz nyumban hutokeapo
Nitakucheck pm unieleze kinaga ubagaThad naona ana majukumu
Uzuri mimi sio mkazi wa hilo jimbo na sina makazi ya kudumu kwa sasa bali ni ushabiki tu kama Simba na Yanga.
Na bado wanaotumiki huu uibilisi wa awamu ya tano Mungu atawalipa malipo yaoAlisema hakutaki we unapotea potea anakumiss sanSiku akija mwambie mjr95 alikusubili mno
Huwa anapita pm kwangu kusaini comrade.
Pole sana umepima lakin
Mkuu Leo umeonekana juzi ulikimbia lindo humukichwa kichafu kila nikiona avatar yaki asee unaniacha hoi![]()
Alisema hakutaki we unapotea potea anakumiss san
Ipo hapa wanga weng siunajua usiku huu kipenz wa miyeZawadi yangu ya valentine???
Unafikir me najua bas...nilimskia akisema etii ana majukumuNitakucheck pm unieleze kinaga ubaga
Zawadi yangu ya valentine???
We unang'aa sharubu huku watu tunaenjoy life kamandaKwako kaanza lini
Kwaiyo mchan nkushtue ee??Ipo hapa wanga weng siunajua usiku huu kipenz wa miye