Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,566
Noa kichinjio tenaLeo usingizi umenipaa nasubiri asubuhi nikachinje mtu na kichinjio changu....
Noa kichinjio tenaLeo usingizi umenipaa nasubiri asubuhi nikachinje mtu na kichinjio changu....
Kila ki moja muhimu. Niko navyo
Hilo ni muhimu maana ni la kupigia mkwaraaSafi, umeiva kikazi. Rungu sijakuuliza najua unalo.
Noa kichinjio tena
Tusubiri hatima yake kukichaTatizo ni anaetangazwa, laiti ingekua wingi wa kura. Nafikiri saa hizi wanaandaa na kupanga karatasi na matokeo na asilimia.
Hilo ni muhimu maana ni la kupigia mkwaraa
Tusubiri hatima yake kukicha
Hadi sasa huo mtindo bado upoZamani uzalendo na ushujaa ulikua kwenye damu. Kule nyumbani mnalala kwenye tembe halina mlango na ni porini ili kuhakikisha usalama wa mifugo, tuache JKT irudi
Nimekwazika sana na kilichotokea jana.Wanajichanganya hadi ukimuuliza mtu wapiga kura walikua wangapi, kura zilizoharibika na halali anakua mkali..asilimia hazilingani.
Hun baeeee
Kwemaaaa
Salama salminKwemaaaaaaaaaaa
Kwemaaaaaaaaaaa
Imarisheni lindo nitarudi baadae kuchungulia usalama na kuja mapema Alfajiri kufunga getiKwemaaaa