Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Leo nahisi hutopitwa mkuunilipitiwa na usingizi asee kichwa kichafu
Leo nahisi hutopitwa mkuunilipitiwa na usingizi asee kichwa kichafu
Hehee...mambo
Nmekumiss ujue kitambo sijaona fujo zako
Nilikuwa huku JF mkuu...kwani ulikuwa wapi mpk zinaibiwa ?
Kwan ulikua wapiNimerudi barabarani
Ndugu acha chukiiiii 😱Hii tabia hujaacha tu?
Haiwezekan...demiss atakumissUkistaafu na mimi na staafu
Ndugu acha chukiiiii 😱
Kwann sasaMabaya
Naona unakaribia kuanza kuitumikia ndoa bundi suguHumu nakaribia kustaafu
Ona mshahara wenu sasa kura zimeibiwa na malipo mmekosa na sisiem wamefanikisha azima yao Dhambi ni dhambi ndio mkome mmeisaidia chichiem wamewabwaga.Nilikuwa huku JF mkuu...

Kwann sasa
Valentine nilikua kansan napakwa majivuValentine ulikuwa na nani?
Thad naona ana majukumu![]()
![]()
![]()
usiondoke Inna. Thad wapi
Uzuri mimi sio mkazi wa hilo jimbo na sina makazi ya kudumu kwa sasa bali ni ushabiki tu kama Simba na Yanga.Ona mshahara wenu sasa kura zimeibiwa na malipo mmekosa na sisiem wamefanikisha azima yao Dhambi ni dhambi ndio mkome mmeisaidia chichiem wamewabwaga.![]()
Huwa anapita pm kwangu kusaini comrade.Akifika mwambie apite pm asaini