yellowbamboo
Member
- Nov 10, 2017
- 37
- 11
Mmelala??
BadoooMmelala??
Sawaaa Ngoja nilalePole,
Aisee tumia tumia tangawizi
Kwema napambana na mafua yananisumbua
KumbeeBadooo
Ndio...na hii comment naiandika nikiwa usingizini.Mmelala??
Nina mashaka ulinzi umehamia PM....Toka Valentine ipite popo wamepungua sjui kwann au double double imeongezeka
Naona bado umekomaa....safi sanaBadooo
ShemMida yetu hii
Hujalala tu mpaka saizShem
Niko lindo mkuuHujalala tu mpaka saiz
JF tunaipenda lazima ilindwe...Duuuuuuu lindo tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HahahahhahaJF tunaipenda lazima ilindwe...



Karibu kilingeniHii thread huwa naiona na kuipita lakini leo naona ina umuhimu kwangu baada ya kukosa usingizi![]()
Ndio mkuuDuuuuuuu lindo tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()