Salama mumuza usiku humu!?
Shem
wanaofanya kazi usiku utawajua tu, ila mleta maada alisema wanaokosa usingizi tuNdio mkuu
Hongera sana jiraniNiko lindo mkuu
Karibu sana mkuuHii thread huwa naiona na kuipita lakini leo naona ina umuhimu kwangu baada ya kukosa usingizi![]()
Pole mkuuBado naugulia maumivu ujue!!! Unaponiita shem unatonesha vidonda.
Nakuachia lindo....Nipo hapa lindoni
Nipo hapa lindoni
Ungempa nusu ili uwe na akiba kwa ajili ya baadae...
Hapo sawaNimerudi darasani, nilijiweka full masinondo
Niachie mzee baba, naliendeleza!Nakuachia lindo....
Mkuu me nimekaa tu, napanda kitandani hakulaliki, nimejaribu kulala kwa kiti napo naona km pana moto, nimetandika nguo chini napo tabu, imenibidi nifungue mlango nikae nnje, yaani sijapata usingizi hata kidogo mpaka muda huu,Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Kila ki moja muhimu. Niko navyoLeo una upinde au manati?