JamiiForums Usiku wa manane
Hahahahahahaaa.
Muda ule nilikuwa najigeuza bahati nzuri nikagusana na simu nikaamua kuchungulia na huku lindoni pia.
Sasa ndio nimeamka rasmi.
Kwa tafsiri ya ID yangu tunaweza kuwa ndugu...

Hata hivyo utakua kwenye kundi la bundi, mara nyingi uko active usiku. Nikutakie siku njema Mnyampaa
 
Back
Top Bottom