carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Sikamoo ndo nini?Sikamoo
Sikamoo ndo nini?Sikamoo
Ney, usimpe pole. Yaani kaamua kutupanga msururu kama kwamba tunapiga kura. Huyo mwanaume ndama wa dhahabu anayejitengenezea hata wayahudi hawakumpataAhahahaaaaaa pole dear,
Sauti za paka usiku ni kama binadam vile, na sasa imeongezeka kusikika sauti ya bundiNakuona kama unaogopa![]()
Mkuu kayakimbize hayo mapakaNasikilizia feni inavyokata upepo na mapaka yanalia huko nje!
Mimi pia jirani yangu, the only jirani in the worldJirani kipenzi nimekuhamu Si kitoto

Wee, ubavu huo sina!Mkuu kayakimbize hayo mapaka
Kumbe masikio yangu yamepindanakupenda kwa moyo wote![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nasubiri zawadi ya tar14
Unarudi lini huku twekayalafukagadasawabamadha
Salaam hyo shikamooSikamoo ndo nini?
Missing youKwema?
Hivi wewe si ndo manyaunyau mla pakaMkuu kayakimbize hayo mapaka

Marhabaaa hujambo kijanaSalaam hyo shikamoo
Sababu napenda afya yako 5litres per day we Leo ulikunywa 1.5litre. Na mengine nimekuandalia hapAMbona leo hujaninunulia balimi umenambia ninywe maj?

Sijambo za hukoMarhabaaa hujambo kijana
Nifichwe na nani mpenzi?Hivi ni nani anakuficha hivi lakini?
We we we Si unajua vizuri ugonjwa wake tafadhari tengua kauliUnataka kumuua mchaga wa watu ama?

HahahahaHumu huwa Hamna wadada wanao toboa ozone au wadada walio humu ni wanandoa
Ngoja tu nikalaleSababu napenda afya yako 5litres per day we Leo ulikunywa 1.5litre. Na mengine nimekuandalia hapA![]()
![]()
