carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Umemsikia nani?Nasikia hata wewe anakuibaga siku hizi [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Umemsikia nani?Nasikia hata wewe anakuibaga siku hizi [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Vimeanza kufanana unajua hilo[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa chako
Kufumba macho tu kwani Ni kazi[emoji23] [emoji23]Nhahaaa usingizi ni janga sugu la mwananchi
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Basi acha nibadili
Mambo mpenzi?
Najiandaa na safari ya hyatt ujue?
Kuna nini k'koo?Kariakoo kuna ....
Hafu imekaribia kule kwa 22mil patahusika[emoji23]Sikujiteka nilikuwa napiga moyo konde ili nilete hili bandiko langu hapa la kutafutavalentino wangu
Nahisi umemfungia ndani ndiyo maana unajiachia hapa na bibie cAnakuja yupo busy na shughuli
We n afande heshma yako mkuuHuku shwari kiongozi tupo na lindo hapa
Kumbe hujasahau[emoji6] [emoji6] [emoji6]Basi acha nibadili
Mambo mpenzi?
Najiandaa na safari ya hyatt ujue?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Ala kumbe!Huyo ni mwanaume wa dar
Tupo humu humu kwenye vyuma vilivyokaza ndugu yanguWe mkazi wawap ndg
Kuna mabundi sugumpaka majogoo au siyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo picha naomba iwe sambamba na picha yanguSisi wasanii huwa ikitokea mambo kama haya ya kwako tunapata picha kichwani. Hivyo nitaiwasilisha hapa picha niliyoipata leo kutoka kwako.
Nini tenaKariakoo kuna ....
Hana ubavu wa kunijibu hiliAkijibu niite
Mbona kakimbia tenaOhoooo kumbe humjui?
Kichwa Kichafu, tafadhali njoo hapa ujibu hili
Sitaki kufanana na wewe,nitakosa wachumbaVimeanza kufanana unajua hilo[emoji23] [emoji23]