Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Heri urefuke kidogo Si kwa urefu ule hata ukiangusha simu hahipasuki [emoji125] [emoji125] [emoji117]Ngoja tu nikalale[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Heri urefuke kidogo Si kwa urefu ule hata ukiangusha simu hahipasuki [emoji125] [emoji125] [emoji117]Ngoja tu nikalale[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimesikia tar 14 imefutwa[emoji6] [emoji6] [emoji6]Sijui nikuache?
Ama nikomae na wewe hadi tar14 ipite?[emoji17][emoji17]
[emoji6]Kumbe wewe ndo ulimficha eeh?[emoji23][emoji23]
Hata Mimi naelekea namuacha jirani yangu aendelee. Lala unonoNimeitikia me muhenga bhana[emoji38][emoji38]
Naenda kulala mie[emoji124] [emoji124]
Nipoo[emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji702] [emoji671]
Tumelala jamani[emoji124] [emoji124] [emoji124]Amkeni jamaniiii.
[emoji137] [emoji137]Roll Call. Master Parade
1: Mwifwa,Kichwa,Money, Inna, Maserati, Paiva,
Nimeandika nimefuta, nimeandika nimefuta, nimeandika nimefuta, nimeandika nimefuta, nimeandika nimefuta, nimeandika nimefuta.Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo:-
1.Awe mchaga kama Nleterewa Nganengo maana kwake sitalala njaa.
2.Awe mstaarabu kama Mwifwa, maana kwake nitaishi kwa amani.
3.Awe mtanashati kama HB wa kigogo,najua nikimuomba hela ya saluni hatanihoji mara mbili mbili.
4.Awe mfuga mbwa kama ipogolo,nikiwa na hamu ya nyama nitachinja mbwa nile.
5.Awe na gari kama mgunga pori, hapo tz 11 yangu itapumzika kutembea.
6.Awe mkulima kama No Escape, nikisikia njaa niingie shambani kuchuma hiki na kile nile.
7.Awe msanii kama spade4spade, aliite jina langu kwa madoido zaidi ya anavyoita jina la Maserati
8.Awe mpiga pamba kama dingi mtoto, hapo najua nitajaza kabati 20 za nguo.
9.Awe mpishi kama alibakari, anipikkie mahanjumati nile nifurahi.
10.Ajue kubebisha kama Kichwa Kichafu,anipetpet zaidi ya anavyompet jje's.
11.Awe sharp kureply kama Joseverest,areply sms zangu zaidi ya anavyoreply sms za Neybright.
12.Awe hana wivu kama Saint Ivunga,asivyomwonea wivu Inna.
13.Asiwe adimu kama Manga ML, mjr95 wala ArleN maana nikimmiss nitaumwa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Yangu ilikuwa inasoma 00: 02 .Latitude hazilingani spade.
Nipo usihofu ,we pumzika tuNimekagua lindo usalama upo vizuri, ngoja niegeshe kidogo na nitarejea kufunga geti
[emoji42] [emoji42] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Salaam, napita tu nakuona unasinzia sinzia getini, pata kahawa kidogo.Nimekagua lindo usalama upo vizuri, ngoja niegeshe kidogo na nitarejea kufunga geti
[emoji42] [emoji42] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Funga HB,...good morning[emoji6]Nafunga geti
[emoji57]Kuna sehemu naenda usiku huu my dear