carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Unaniwekea lock Si kwa salam ngumu kiasi hichi hata kwa grisi bado ngumuMiss you 2 pimbi
Shkamo
Sikujiteka nilikuwa napiga moyo konde ili nilete hili bandiko langu hapa la kutafutavalentino wanguHafu umeanza lini mambo ya kujiteka
Mdo mdo taratibu kabisa tunasukuma gurudumuusiku wa manane !!!
Basi acha nibadiliUnaniwekea lock Si kwa salam ngumu kiasi hichi hata kwa grisi bado ngumu
Huna haja ya kujisumbua kumchora, mbona anajulikana vyemaHapo ndo uende, maana huyo mtu wako duh!
Ngoja nimchore kwanza afu nikimpost kesho hapa uniambie kama ni yeye!

Ila yako ya manne copy kabisaHayo macho kama yako vile
We mkazi wawap ndgNjema kabisa boss habari yako
mpaka majogoo au siyoMdo mdo taratibu kabisa tunasukuma gurudumu
Ohoooo kumbe humjui?Hivi jje's ndo nani vile![]()
Tunashukuru tumeanza week mpya tukiwa na nguvu na malengo mengine tenaAhsante michakato imeendaj
Anakuja yupo busy na shughuliHivi huu ukaribu wenu, jje's anaufahamu?
Nasikia hata wewe anakuibaga siku hiziHeri umemtambua mapema![]()
![]()
![]()
![]()

Huyo ni mwanaume wa darWe mkazi wawap ndg
Huku shwari kiongozi tupo na lindo hapaNiko poa kichwa kichaf cjui we huko
Sisi wasanii huwa ikitokea mambo kama haya ya kwako tunapata picha kichwani. Hivyo nitaiwasilisha hapa picha niliyoipata leo kutoka kwako.Huna haja ya kujisumbua kumchora, mbona anajulikana vyema![]()
![]()
![]()
Akijibu niiteOhoooo kumbe humjui?
Kichwa Kichafu, tafadhali njoo hapa ujibu hili