Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Kichwa Kichafu, tafadhali nijibie hiliNaomba mateee
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Kichwa Kichafu, tafadhali nijibie hiliNaomba mateee
Thad
Inna
Jje's
Ney
Karibu wakati muafaka umefika
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji8][emoji8][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mm nalal jaman leo nilkuwa na hangover ya jana bado kichwa kinaumaaa muwena usiku mwema naomben mabusu yenu tu basi
Daaamn, for rils?French kiss hot
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Kichwa Kichafu, tafadhali nijibie hili
Mm nalal jaman leo nilkuwa na hangover ya jana bado kichwa kinaumaaa muwena usiku mwema naomben mabusu yenu tu basi
usiku wote huu bado hujala ina maana?Nina njaa, kama kuna mtu kabakiza chakula usiku huu naomba
Itanibidi nitangaze nia
Sijala kutwa nzima, kama umebakiza kiporo naomba [emoji120]usiku wote huu bado hujala ina maana?
Pole aisee. Kwema?Sijala kutwa nzima, kama umebakiza kiporo naomba [emoji120]
Wewe kweli bure kabisaItanibidi nitangaze nia
Yaani kumwomba msaada kidogo tu umekuja mkuku je, nikimwomba anitoe valentine day si ndo utazimia?[emoji12] [emoji12] [emoji12]Yaan umeona yeye ndo mwenye majibu ama?
Nauliza tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mlishauriana nini tena?
Nitalia kichaga tu utamuachaYaani kumwomba msaada kidogo tu umekuja mkuku je, nikimwomba anitoe valentine day si ndo utazimia?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
jamani ungenambia mapema nishamaliza choteSijala kutwa nzima, kama umebakiza kiporo naomba [emoji120]
Atakuja na majibu acha utaelewa tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] mlishauriana nini tena?
Mbona mimi ulininyima ushauri lakini?
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] hiyo mambo sio vitaWewe kweli bure kabisa
Nisamehe tu kwa sentensi yangu
Nilidhani unaniletea mrejesho kumbe ndo kwanza hujatangaza hata nia?
Kweli kwenye miti .......
Ukishatangaza nia uniambie ili nikuandalie kabisa mchango wa harusi [emoji12] [emoji12] [emoji12]Itanibidi nitangaze nia