JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wewe kweli bure kabisa
Nisamehe tu kwa sentensi yangu
Nilidhani unaniletea mrejesho kumbe ndo kwanza hujatangaza hata nia?
Kweli kwenye miti .......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuna nini hapa? [emoji101] [emoji101] [emoji101]
 
We naweee umekuwa mzungu na bajet?
Sisi lazima tubakize kiporo bhana
hahaha yaani kama yeye alivyoshinda kutwa hajala ndicho kilichonikuta na mimi pia leo...
tofauti nikuwa usiku nimekula ila kwa ile njaa kiporo kisingeweza kubaki kwa kweli
 
Back
Top Bottom