JamiiForums Usiku wa manane
Naomba pombe zikikuisha ubadilishe hiyo avatar yako maana imewafanya Inna,jje's na Neybright wapate jaka la moyo kwa kuogopa kuibiwa ma baby wao....
Huyo ndo Demiss original kipindi nipo Dar maana watu walinisumbua sana Oooh tumechoka ulimi Unatutamanisha

Sasa Nimeamua kuweka paja langu original

Waambie wnisamehe nitatoka soon nitaiweka Sura yangu
 
Huyo ndo Demiss original kipindi nipo Dar maana watu walinisumbua sana Oooh tumechoka ulimi Unatutamanisha

Sasa Nimeamua kuweka paja langu original

Waambie wnisamehe nitatoka soon nitaiweka Sura yangu
hapa kweli disco kaingia mmasai....... Kwahiyo huwaonei huruma wanawake wenzako wanavyopatwa na presha kwa ajili yako?
 
Back
Top Bottom