Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,994
- 189,580
Saaaaaaaa ngapi hiviNitajeee,sema suuuu
Saaaaaaaa ngapi hiviNitajeee,sema suuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooo mshiki wa Nleterewa Nganengo njoo huku ujionee mambo, mimi sitaki umbea
Sasa ole wako unikimbie kama ulivyonikimbia xmassMbona umeipata Hata kabla hujasema [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Umeanza tena ulinipromise umeacha Leo nini tatizo[emoji23][emoji23][emoji23]
Balimi inafanya kazi
Kwani mimi saa,usinichoshe[emoji23][emoji23][emoji23]Saaaaaaaa ngapi hivi
Atakupigaje, kwani wewe huna mikono?[emoji23][emoji23][emoji23]
Una nini lakin?
Unataka nipigwe na jje's ama?
Kichwa Kichafu,ona huyu ananitafutia kesi
Nikupe ushauri[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ohoooo mshiki wa Nleterewa Nganengo njoo huku ujionee mambo, mimi sitaki umbea
Nilikuwa najaribu nione kama kweli nimeacha[emoji6][emoji6]Umeanza tena ulinipromise umeacha Leo nini tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikipigwa nampelekea kesi da mangeAtakupigaje, kwani wewe huna mikono?
Akirusha ngumi wewe utarusha teke...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tuondoke basiNikupe ushauri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Adhabu gan tena jaman mbn unanipa mawazo na nilivyolewa unanipa wakat mgumuAdhabu unayonipa...
Pressure Tena? Kwann[emoji15] [emoji15] [emoji15] hapa kweli disco kaingia mmasai....... Kwahiyo huwaonei huruma wanawake wenzako wanavyopatwa na presha kwa ajili yako?
Wewe Leo nimelewa nisije nikaropoka mambo yako mm na nabiii Tito bila kubust hainogi storyWe pimbi umeanza kufukua makaburi ya zombie
Demiss nakusalimuPressure Tena? Kwann
Wewe ndo unasingizia hayo
Endelea mamii kulewa,nitakufungulia mlango usijariAdhabu gan tena jaman mbn unanipa mawazo na nilivyolewa unanipa wakat mgumu
Nakupenda mno ndio maana, niko hapa nje nakusubiri urudi nifunge mlango,mbwa wasikuume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hunipendi wewe
Hahahahahah hapo mambo sawa sawaUsinitajie balimi, nimeokoka situmii tena hayo makitu