ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Karibu mkuu. Hawajambo huko ulikokuwa?Wapendwa hamjambo humu ndani? Niliwamiss mno....![]()
![]()
![]()
Karibu mkuu. Hawajambo huko ulikokuwa?Wapendwa hamjambo humu ndani? Niliwamiss mno....![]()
![]()
![]()
Aisee basi mi naachana na hii kazi.Kujitolea tu

Asante kiongozi.Karibu mkuu. Hawajambo huko ulikokuwa?

Tupo tumejaa tele ka pishi la mcheleMpooo
jje's ana taarifa za huyo mwanasaikolojia wako?Lala urefuke mwana saikolojia wangu
Basi mkuu. Maadam umerejea salama.Asante kiongozi.
Nilikokuwa hawajambo japo hawajawasalimia![]()
![]()
![]()
Huyo ndo ananifanya niadimike humu ndani, maana kila nikimwona tu....moyo wangu unatamani kutoka mwilini mwangu ukajifiche chini ya ardhiBasi mkuu. Maadam umerejea salama.
Yule umfiaye kumoyo hajambo

Unaingia kutoka wapi kiongozi?Karibuni nami ndo naingia mida hii
Ndo natoka kwenye usingizUnaingia kutoka wapi kiongozi?
Mwl.wangu wa zamani, vp umemwona Demiss lakini?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nitarudi kukagua lindo na kufunga geti
Umeachwa eeHuyo ndo ananifanya niadimike humu ndani, maana kila nikimwona tu....moyo wangu unatamani kutoka mwilini mwangu ukajifiche chini ya ardhi![]()
![]()
![]()
Oohooo kumbe naongea na mtu aliyeamka kuchimba dawa?Ndo natoka kwenye usingiz
nimelala usingiz ndo umekata joto hatareOohooo kumbe naongea na mtu aliyeamka kuchimba dawa?
Hivi we ke au meAisee basi mi naachana na hii kazi.
Kujitolea usawa huu yataka moyo wa ziada sio huu huu unaosukuma damu na mapenzi![]()
![]()
![]()
Hajaachwa bwana!Umeachwa ee
Bora hata ningeachwa maana ningebaki na kumbukumbu za kuwahi kupendwa. Kuna mtu nampenda ila naogopa kumwambia, nishauri mbinu ya kutumia kumnasaUmeachwa ee
Kumbe eeee!Huyo ndo ananifanya niadimike humu ndani, maana kila nikimwona tu....moyo wangu unatamani kutoka mwilini mwangu ukajifiche chini ya ardhi![]()
![]()
![]()