Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji23] [emoji23] Demiss ushaanza vituko vyako sasa, yaani mpaka leo hujui jinsi yangu?Hivi we ke au me
[emoji23] [emoji23] Demiss ushaanza vituko vyako sasa, yaani mpaka leo hujui jinsi yangu?Hivi we ke au me
Ndo hivyo mkuuKumbe eeee!
Usiogope jiamini kwanza .Bora hata ningeachwa maana ningebaki na kumbukumbu za kuwahi kupendwa. Kuna mtu nampenda ila naogopa kumwambia, nishauri mbinu ya kutumia kumnasa
[emoji23] nikajua kaachwaHajaachwa bwana!
Asshh! Thad. Ile mbinu hujaitumia. Ni PM mie nitamuomba asikutese.Bora hata ningeachwa maana ningebaki na kumbukumbu za kuwahi kupendwa. Kuna mtu nampenda ila naogopa kumwambia, nishauri mbinu ya kutumia kumnasa
What are you checking?Checking in
Naona soni mwenzio, akinikataa je itakuwaje? Si ndio itakuwa chanzo cha kuikimbia jf mazima?Asshh! Thad. Ile mbinu hujaitumia. Ni PM mie nitamuomba asikutese.
Mamy nina ombi kwako....Leo majanga majngaaa majangaaa
Hahhha yan nimelewa Leo hata sielewi Wewe nijibu tu hakuna namna mm nahisi kama me[emoji23] [emoji23] Demiss ushaanza vituko vyako sasa, yaani mpaka leo hujui jinsi yangu?
Laiti ungemjua mtu mwenyewe, hakika ungejua kwanini napata ugumu wa kusema nae.....Usiogope jiamini kwanza .
muweke wazi unampenda mpe maneno matham atagoma goma mwishowe atakukubalia ombi lako .
sema nn nakushauri uende taratibu ukikataliwa potezea kwanza then muombe namba ya sim anza km urafiki
Siku zote jiamini nothing impossible msingi imani yako tu , nakushauri uwe muwaziLaiti ungemjua mtu mwenyewe, hakika ungejua kwanini napata ugumu wa kusema nae.....
Wewe ni mgogo Wewe mbn una jina l kigogoAsshh! Thad. Ile mbinu hujaitumia. Ni PM mie nitamuomba asikutese.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama umelewa basi hata nikikwambia hutakumbuka tena.Hahhha yan nimelewa Leo hata sielewi Wewe nijibu tu hakuna namna mm nahisi kama me
Nakusikiliza MkuuMamy nina ombi kwako....
Mbinu gani hiyo?Asshh! Thad. Ile mbinu hujaitumia. Ni PM mie nitamuomba asikutese.
Kuwa mvumilivu mkuu,mambo yanawekwa sawaAisee basi mi naachana na hii kazi.
Kujitolea usawa huu yataka moyo wa ziada sio huu huu unaosukuma damu na mapenzi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Dodoma saiv rahaaaa tu bado kuna waheshimiwa mafisadi tunakula bata si Unajua wakuu wote wamehamia huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama umelewa basi hata nikikwambia hutakumbuka tena.
Hiv wewe mwenzetu unapata wapi pesa ya kulewea usawa huu wa Magu?
Naomba pombe zikikuisha ubadilishe hiyo avatar yako maana imewafanya Inna,jje's na Neybright wapate jaka la moyo kwa kuogopa kuibiwa ma baby wao....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nakusikiliza Mkuu
Asee ,sina usemiDodoma saiv rahaaaa tu bado kuna waheshimiwa mafisadi tunakula bata si Unajua wakuu wote wamehamia huku