Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
Baridi jaman kawaidaPole vp leo ujisikii baridi
Baridi jaman kawaidaPole vp leo ujisikii baridi
Mm nalala[emoji101] asee
Nawatega kivipUnatutega lakin ujue[emoji125]
Kawaida hiyoooHii saikolojia Sasa inaleta usaikolojia hivi punde
Usilale mapema saa hizi, nimeona vibaka karibu hapo....Mm nalala usiku mwema nawaachila lindoo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Full minyegeshoooo
kwem tu salam lknNami nipo,
Basi sote tupo,
Kwema lakini.
Tupo tunaangalia wezi wasiibe JF.popooooziiiii mpo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi ni nani anapaswa kutulipa sisi walinzi wa jf, mmiliki,wanachama au twajitolea tu?Tupo tunaangalia wezi wasiibe JF.
I
Kujitolea tuHivi ni nani anapaswa kutulipa sisi walinzi wa jf, mmiliki,wanachama au twajitolea tu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] we kweli unazeeka vibaya...yaani unakumbatia mto badala ya kumkumbatia my wife wako?Ewaah walahi nimejikuta nishamsahau chaupele cheupe wa Veyula[emoji39]
Kwa sie wakumbatia mito hii avatar ni hatari kwa afya[emoji40]