Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
sijakuona muda...japo mm mwenyewe nimekuwa mtoro kweli humu ndaniso nipo kbsa
sijakuona muda...japo mm mwenyewe nimekuwa mtoro kweli humu ndaniso nipo kbsa
U hali gani?
Mm nipo sana we we ndo umezidi utorosijakuona muda...japo mm mwenyewe nimekuwa mtoro kweli humu ndani
Sijambo.
Hofu kwako
Yes sweet kusikisia sauti yako kwangu maradhi ya moyo
Lete habariMm Niko bombs sana
🙂🙂na kweli..Mm nipo sana we we ndo umezidi utoro
usalama kitaani vipi mkuunaam mkuu tunausongesha usiku huu
U hali gani honeyWacha kabsa mm hapa kukuona tu mapigo ya moyo yameongezeka
Hahaha ujue kutoswa hadharani inauma sana komredi. Mimi nipo, sema ile laana ya kula kwa jasho inanikeep bize kidogo.Naona Mwalimu mwenzangu baada ya kutoswa na Mwanafunzi wetu ndio umeibuka tena![]()
![]()
![]()
Darln, nikikuona hats kama mgonjwa naponaU hali gani honey
Mzima sana sema nilikuhamu ujue🙂🙂na kweli..
natumai u mzima lakini
Mwagieni sera inbox bana, mnatunyanyapaa sisi walinzi hapaNiko salam
Darln, nikikuona hats kama mgonjwa napona
Unanimalizaga tu na Yale mambo yako ya kipekee lavuu
Kweli mkuuHahaha ujue kutoswa hadharani inauma sana komredi. Mimi nipo, sema ile laana ya kula kwa jasho inanikeep bize kidogo.
We we hapo, nimesoma ushaur wako kwake so nasubiria mrejeshoUnamwambia nani?
Na mtuwashe kabisaMwagieni sera inbox bana, mnatunyanyapaa sisi walinzi hapa
Sawa, ila ungeni quote ndio nisingehangaika kukuulizaWe we hapo, nimesoma ushaur wako kwake so nasubiria mrejesho