Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Pole sana komredi, siku zote huwezi kula muwa bila kukutana na fundo.Ni stori ndefu ila nimepatwa na tatizokubwa
ivi sijakuquoteSawa, ila ungeni quote ndio nisingehangaika kukuuliza
mimi pia mpendwa...Mzima sana sema nilikuhamu ujue
Naona unatema misemo.Pole sana komredi, siku zote huwezi kula muwa bila kukutana na fundo.
Ndio.ivi sijakuquote
Hiki kitochi changue matata
Unajidai ndo umeona Jana sio? Huu ualimu wako una mashaka

Uwe na Aman kuumimi pia mpendwa...
tuvumiliane tu majukumu mengi ndo maana utoro umekithiri
Mm karibie niende mndenyi nikihis nitakukuta![]()
![]()
Kumbe hujui nilishatumbuliwa hadharani na mwanafunzi wangu, hakika amenisabishia ugonjwa wa foget foget na macho kutokuona vizuri. Ila mshiki nimekuhamupo sana ujue,![]()
ndio maana nakupendagaaNakusoma vilivyo
Uwe na Aman kuu
Unaenda wapi sasa hapa ndo kijiwenNapita tu
Bundis tu ndo tupomapopo usiku mwema kwenu nyote Mwenyezi akawalinde wote muamke salama kesho
Baby mengine utaniambia kuleee penda Sana weyeNiko salam
Darln, nikikuona hats kama mgonjwa napona
Unanimalizaga tu na Yale mambo yako ya kipekee lavuu
Teh teh teh mlinzi unachanganya ma-fileMwagieni sera inbox bana, mnatunyanyapaa sisi walinzi hapa
Niko salam
Darln, nikikuona hats kama mgonjwa napona
Unanimalizaga tu na Yale mambo yako ya kipekee lavuu

Hahahhaah tusubir bhana haraka ya nn?