dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Aiseee siko vizur ngoja wakija watakujibuKisa cha watu kukesha nini?
Aiseee siko vizur ngoja wakija watakujibuKisa cha watu kukesha nini?
kuna maono ya kuandika au kwa tunaozima taa tunaandikaje sasaUnajua usiku ndio akili zinafanya kazi vizuri. Hata wataalamu wanashauri ukilala lala na notebook na pen pembeni
Sawa.Aiseee siko vizur ngoja wakija watakujibu
Una nn leo kipenzi?Aiseee siko vizur ngoja wakija watakujibu
Ni stori ndefu ila nimepatwa na tatizokubwaUna nn leo kipenzi?
Linaweza kukujia wazo productive usiku sasa usipoliandika kesho hukumbuki.kuna maono ya kuandika au kwa tunaozima taa tunaandikaje sasa
PopoPopoz and Bundizz
Level mkuuWaa Waaa wananzengo kwema
Kwema mpwaaaLevel mkuu
Lete habariKwema mpwaaa
Amiiiiiiiiiiiinakesheni mkilinda maana hamjui saa wala siku ajayo mwivi
Wewe tuNani yupo macho
Nani yupo macho
