Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Habari zako ninazo we endelea tu.nipo mbali huwa nampigia simu tu nakuchat [emoji41][emoji41]
Habari zako ninazo we endelea tu.nipo mbali huwa nampigia simu tu nakuchat [emoji41][emoji41]
Bae hadi mimi[emoji17]Fain zinawahusu( rushwa napokea ila sio kivile) in Nleterewa voice
Ila usitoke na shingo bure. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au nilambeee shingo kabisaaaa
Teh teh my legTeh teh teh
Kipenz wa inna[emoji132] [emoji8]Dingimtoto
basi vumilia tu kama mme wake demiss anavyovumiliaTatizo anamwaga siri hadharani
Mzaniaye ndie sie chunga kauli yakoYaani najuta kukufahamu unautoto mwingi aisee.
Aya ngoja mi nilaleKipenz wa inna[emoji132] [emoji8]
Love bite halali yakool nimepaka lipsitk jiandae kisaikolojiaIla usitoke na shingo bure. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulienda wapKipenz wa inna[emoji132] [emoji8]
Kizuri kula na wenzioNitakukimbiza humu JF we endelea tu
We nae acha kunizingua.Mzaniaye ndie sie chunga kauli yako
Na wazungu wanasema vice versa is true
sentensi nyegezi[emoji54][emoji54]Au nilambeee shingo kabisaaaa
Chata yako siyo SI unit kama ilivyo kg, kwamba duniani kote tunajuwa ni kilogram, au mW basi kote tunajuwa ni milliwatts.....Chata yangu anayo
Yaani we jamaa unapenda kujipendekeza mpaka kero yaaniBae hadi mimi[emoji17]
Pambana na hali yakoKizuri kula na wenzio
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]hiyo kwaya yenu sipati picha kwenye kuchezaNdo kanisa letu Ukija dom nitakupeleka kuna vyombo kabisa usipolewa tunakuongezea na nyagiii
Ukimgusa inna ujue umenigusa na mimWe nae acha kunizingua.
[emoji13] [emoji13] Kwa mpenz wangu ila sio kwa watu wengineYaani we jamaa unapenda kujipendekeza mpaka kero yaani
[emoji57][emoji57]Ukimgusa inna ujue umenigusa na mim