dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
Lala na uote kabisaAya ngoja mi nilale
Lala na uote kabisaAya ngoja mi nilale
Utakuwa kilema shauri zako[emoji57][emoji57]
Aliniambia unamsumbua, kistaarabu achana nae.Alikwambia 😳 😳 😳
Kisa vile vyombo ndio maana unang'ang'ania kule[emoji23] [emoji23]Usisahau kesho kwa nabiii Tito ng'ong'ona kwenda kusali
[emoji23][emoji23]Utakuwa kilema shauri zako
Nilikua nakoga kipenz,pole kwa kunisubirUlienda wap
Pambana na hali yako bhanakumbe tupo foleni 😕 😕 😕
Tuwakilishe vyema wanaume wote duniani mkuuDaah, kuna mtu ana kila dalili ya kususia mtanange ilhali ndo kwanza tupo nusu ya game nzima
Na nan tena,?folen hiyo ipi?kumbe tupo foleni 😕 😕 😕
Teh teh teh My handTeh teh my leg
Ata akupendi shobo tu[emoji57][emoji13] [emoji13] Kwa mpenz wangu ila sio kwa watu wengine
[emoji125] [emoji125] [emoji125] unitakii mema kwa mrembo wangu jje'sLove bite halali yakool nimepaka lipsitk jiandae kisaikolojia
Hilo unasema wewe na hayo ni maneno hata kasuku anaweza semaAta akupendi shobo tu[emoji57]
mbona mi kanisifia,atakua amekudanganyaAliniambia unamsumbua, kistaarabu achana nae.
Feni linahusika hapa, anaipepelea kabla mtanange haujaanza kwa ngwe ya pili, mambo haya baana ni matamu haswaaaaTuwakilishe vyema wanaume wote duniani mkuu
Uwe unaacha upumbavu bhanaNilikua nakoga kipenz,pole kwa kunisubir