Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Nkajua umeshalalaNilikua nakoga kipenz,pole kwa kunisubir
Nkajua umeshalalaNilikua nakoga kipenz,pole kwa kunisubir
Nitakuja nikufumue we endelea tuUlienda wap
Hapana nipo macho maana naona kuna mtu leo ananiletea figisu humuNkajua umeshalala
Mdo mdo01:00
Wa kazi gani sasa?Nkajua umeshalala
kweli wewe kuibiwa mke ni rahisi inamaana hutujui waume wenzioNa nan tena,?folen hiyo ipi?
Endelea kutafuta kikimbona mi kanisifia,atakua amekudanganya
Bwana mdogo, angalia huyo malkia wanguNitakuja nikufumue we endelea tu
We endelea kunisumbuaHilo unasema wewe na hayo ni maneno hata kasuku anaweza sema
Toba....

Kila la kheri mkuu ila usisababishe ajali.Feni linahusika hapa, anaipepelea kabla mtanange haujaanza kwa ngwe ya pili, mambo haya baana ni matamu haswaaaa
Lala hukoHapana nipo macho maana naona kuna mtu leo ananiletea figisu humu
Hehehe!!! Labda mwingine ila sio laaziz wangu innakweli wewe kuibiwa mke ni rahisi inamaana hutujui waume wenzio
Kila akilewa lazima akuje na ngeo/ngeuHuyu jirani yangu sijui nimsaidiaje haki.....
Hapa tayari tafran wallah
Acha shobokweli wewe kuibiwa mke ni rahisi inamaana hutujui waume wenzio
kama nakuona ukisimamia kuchaFeni linahusika hapa, anaipepelea kabla mtanange haujaanza kwa ngwe ya pili, mambo haya baana ni matamu haswaaaa

Unacho kitafuta utakipataBwana mdogo, angalia huyo malkia wangu
Siwez lala nimuache malkia wangu anagubuziwaLala huko