asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Hakuna cafe ya staff. Ni mixer everywhere
mmmmmmmh!!!!!!!!!!
aiseeeeeh!!!!!!!!!!!
Hakuna cafe ya staff. Ni mixer everywhere
mmmmmmmh!!!!!!!!!!
aiseeeeeh!!!!!!!!!!!
chai 1000
mchana 2000
usiku 2000
maji chupa kubwa 1000/au lita12 sh4500 unakunywa wiki nzima
.............maximum 6000 tuweke na vocha500..
........back in the days sisi tulikuwa either tunapika(tunatoa kitu) room tena ni midume...au tunachanga mfani mtu 10.. kila mtu 150,000 tunaajiri mdada anatupikia tunanunua gunia za unga,mcheke,ndondo.dagaa.na chenji ya mboga kama nyama (inatengenezwa ratiba ya wiki) iyo tunagonga msosi semester nzima na mshahara wa mpishi humohumo..sie tunagharamika chai tu.
STATIONERY FEE MNAPEWA SEPARATE EBU ACHA UJANJAUJANJA HAPA..
tatizo mna anasa nyingi mno...clubbin...gadgets nzitonzito(iphone..galaxy s4 n the like..wengine walevi..wahongaji) ...
SASA KWA WIKI UNATUMIA LAKI KWA KULA UKIJA AJIRIWA LET SAY UTAPOKEA 350,000 KWA KUANZIA..UTAISHIJE HAPO..BADO KODI..FURNITURES..NAULI NA MENGINEYO
Maybe ndomana bei zipo juu
mkuu enzi zetu na tv , friji , feni n.k unanunua na hiyo hiyo bumu........
hawa watoto wa siku hizi laini sana........... mpaka kwenye akili.
may b siku moja nitafika huko...........
hlf wewe unapenda kula samaki wa 5000 kila siku?
Sipendi nyama (red meat)
Nabadilisha vyakula.... kuna vingi
gonga ndondo... morogoro kuna nguluka kibao kams issue ni samaki..zaidi kuna perege na samaki wengine kibao kutoka mindu hapo tena karibu na chuo... bei chee kama nini...uzuri moro mchele wanalima hukohuko msosi sio tabu kihivyo....
mimi nlisomaga chuo moro though ni miaka kadhaa imepita..
msosi 1000 kwa 1500... MPIKE WENYEWE KAMA VIPI ACHENI KUJILEGEZA
chai 1000
mchana 2000
usiku 2000
maji chupa kubwa 1000/au lita12 sh4500 unakunywa wiki nzima
.............maximum 6000 tuweke na vocha500..
***usafiri hostel za chuo hakuna...za karibu na chuo pia hazipo??? ok tufanye nauli 800 kwenda na kurudi.
adjust ratiba ya chai iwe chai 200kikombe vitafunwa 500....
kwa siku toptop 7000. kama ni mlaji cafetaria
........back in the days sisi tulikuwa either tunapika(tunatoa kitu) room tena ni midume...au tunachanga mfani mtu 10.. kila mtu 150,000 tunaajiri mdada anatupikia tunanunua gunia za unga,mcheke,ndondo.dagaa.na chenji ya mboga kama nyama (inatengenezwa ratiba ya wiki) iyo tunagonga msosi semester nzima na mshahara wa mpishi humohumo..sie tunagharamika chai tu.
STATIONERY FEE MNAPEWA SEPARATE EBU ACHA UJANJAUJANJA HAPA..
tatizo mna anasa nyingi mno...clubbin...gadgets nzitonzito(iphone..galaxy s4 n the like..wengine walevi..wahongaji) ...
SASA KWA WIKI UNATUMIA LAKI KWA KULA UKIJA AJIRIWA LET SAY UTAPOKEA 350,000 KWA KUANZIA..UTAISHIJE HAPO..BADO KODI..FURNITURES..NAULI NA MENGINEYO
Wakati wengine wanatumia boom kulipa fee nyie halitoshi mnakula hadi fee za watoto nyumban. Kwanza huyo dogo atafakari sana sababu baba'ke mdogo anamzidi miaka 5 tu. Usikute dogo ashapata majukum pembeni (dem/mtoto) analea.No research no right to speak. Don't conclude because you don't know.
Njoo Mzumbe main campus uone.....hiyo ni bei ya muso canteen. Canteen ya chuo
hatujawahi ila alishawahi kulalama kuwa tangu nioe ukaribu wangu kwake umepungua
jamani ww kaka hapo unaposema anatumia laki kwa wiki mbili afu unaona nyingi umekosea mim ni mwanafunzi trust me anajibana sana laki ni kwa wiki tena kwa matumiz ya kawaida no anasa afu hivi mtoto akinyea mkono utaukata naamin hutaukata ww kama mzazi inabd ukae nae uongee nae afu kma ni ishu ya hela kma mzazi unamwambia tu uwezo wako wa kutoa pesa ni upi nadhani atakuelewa