Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

Kula wali maharage ukasome............wali samaki wanakula wenye ajira zao bibie. Ukitaka boom likulipie kila kitu unachopenda unapotea saaaaana. Ukijaliwa wazazi wenye pesa za kutosha kula unachotaka na utapewa back up ya financial assistance kutoka home. Usijilinganishe na wengine

you are right bro, watu tumesoma kwa boom tena lenye category na tulikuwa tunalipa ada na mahitaji mengine tunakamilisha. Mi namshauri asimamie anachoamini ni sahihi na unauwezo nacho. Eti nyumbani kwangu buget ya nyama kwa wiki ni mara 3 afu we unataka nikupe mara 5 kisa eti uko chuo, never.
 
Are you serious:what:😱
Laki moja inaisha kwa wiki 2:what:...trust me anajibana sana....mimi laki moja natumia kwa wiki moja tu mkuu. Enzi wewe unasoma chuo vitu vilikua bei chee compared na sasa.... kwa sasa bila anasa mwanachuo kwa siku anatumia sh10000...nakushangaa huyo dogo anawezaje kutumia laki moja kwa wiki 2. Mimi ni mwanachuo...natumia laki 1 kwa wiki 1.
Wewe kwa maelezo tu unaonekana kabisa ni kiburi na don't care. Jitafakari upya bro.

hebu weka huo mchanganuo wako wa matumizi unaotumia elfu10.. kwa siku mwanachuo na useme mkoa gani huo???..
JAMAA KASHASEMA HIZO SENTE NI APART FROM BOOM..sasa ukijumlisha na boom inakuwaje... wengi tumepita chuo na maisha ya kule tunayajua acha kuexaggerate mambo kijana
 
Mlipita chuo enzi hizo sio sasa...
Chai = 500 minimum kwa tunaokunywa vibandani
Lunch; wali samaki 5000
Maji 1500
Dinner; wali maharage 1500
Maji 500
Hapo sijaweka stationary na mahitaji mengine hasa ya kike
Bando lenyewe tu 899 la voda......for browsing and studying
 
wewe unauwezo wa kumaliza maji lita 1 na nusu kwenye lunch tu?
 
nataka nikashuhudie mazingira magumu ya denti kutumia laki 4 kwa mwezi ,juu ya boom lake.

Tena hapo kijijini wakati anauwezo wa kununua maviazi matamu kwa warugulu akayachemsha.
Sipati picha angesoma town city centre kwenye mapizza,maburger na mazagazaga mengine.
 
duuh maisha mitihan jaman ningepata ndugu kama ww duuuh ila ndo hvyo penye miti hapana wajenzi mie nasoma na ninaboom na sina wazazi nasoma arusha na pia huwa nakuwa morogoro likizo lakin napoondoka morogoro napewa laki tu ni nauli na kila kitu mpaka boom litoke coz naulizwa s unaboom yaap stori imekwisha na ninapokuwa chuo hlo boom ndo kila kitu na nauli yakurudi likizo thanx God namaliza mwaka wa tatu bila ugomvi na ndugu maisha magumu huwezi lazimisha watu wakuhudumie kwa kiwango utakacho naomba tu kaka angu ongea na dada ako maisha yaende na huyo n mwanao na anakuona so lazma adeke kidogo mie kwetu ndo wakwanza so sina jinsi
 
Sasa anataka umuoee yeye maana anachuki na mkeoo
 
Huyo Mwanafunzi msaidie kadri ya uwezo wako maana itafikia miaka ambayo utazeeka,utastaafu na nguvu hutakua nazo tena,macho yatapofuka,miguu mizito na mgongo utapinda huku masikio nayo yakiziba.Yeye atakua msaada mkubwa kwako,Dada ako na watoto wenu.
 
Tena hapo kijijini wakati anauwezo wa kununua maviazi matamu kwa warugulu akayachemsha.
Sipati picha angesoma town city centre kwenye mapizza,maburger na mazagazaga mengine.

hapo sasa na ile za kibongo bongo kuona junk foods ndiyo mpango mzima mbona angeharibika hiyo morpology ya mwili kabisa......

anyway! tuliosoma ka kuhustle tutaendelea kukishangaa hiki kizazi laini........
 
Huyo Mwanafunzi msaidie kadri ya uwezo wako maana itafikia miaka ambayo utazeeka,utastaafu na nguvu hutakua nazo tena,macho yatapofuka,miguu mizito na mgongo utapinda huku masikio nayo yakiziba.Yeye atakua msaada mkubwa kwako,Dada ako na watoto wenu.

Haina guarantee hii theory yako mkuu hasa kwa aina ya maisha ya dogo anayoishi
 
Mpaka jioni....after lunch napiga nusu lita....mengine kidogokidogo mpaka jioni
Kwa siku nakunywa kuanzia nusu lita

ok!
vipi na bei ya vyakula kwenye cafteria ya staff km ya wanafunzi ndiyo hivyo?
 
Mtu ana kula mara moja tu kwa siku?
Na akila hakuna kinywaji?
Usafiri?
Stationary?
Tupe expirience yako mkuu, wewe ulikua una bana vipi budget pls.

chai 1000
mchana 2000
usiku 2000
maji chupa kubwa 1000/au lita12 sh4500 unakunywa wiki nzima
.............maximum 6000 tuweke na vocha500..
***usafiri hostel za chuo hakuna...za karibu na chuo pia hazipo??? ok tufanye nauli 800 kwenda na kurudi.
adjust ratiba ya chai iwe chai 200kikombe vitafunwa 500....
kwa siku toptop 7000. kama ni mlaji cafetaria

........back in the days sisi tulikuwa either tunapika(tunatoa kitu) room tena ni midume...au tunachanga mfani mtu 10.. kila mtu 150,000 tunaajiri mdada anatupikia tunanunua gunia za unga,mcheke,ndondo.dagaa.na chenji ya mboga kama nyama (inatengenezwa ratiba ya wiki) iyo tunagonga msosi semester nzima na mshahara wa mpishi humohumo..sie tunagharamika chai tu.
STATIONERY FEE MNAPEWA SEPARATE EBU ACHA UJANJAUJANJA HAPA..
tatizo mna anasa nyingi mno...clubbin...gadgets nzitonzito(iphone..galaxy s4 n the like..wengine walevi..wahongaji) ...
SASA KWA WIKI UNATUMIA LAKI KWA KULA UKIJA AJIRIWA LET SAY UTAPOKEA 350,000 KWA KUANZIA..UTAISHIJE HAPO..BADO KODI..FURNITURES..NAULI NA MENGINEYO
 
Huyo Mwanafunzi msaidie kadri ya uwezo wako maana itafikia miaka ambayo utazeeka,utastaafu na nguvu hutakua nazo tena,macho yatapofuka,miguu mizito na mgongo utapinda huku masikio nayo yakiziba.Yeye atakua msaada mkubwa kwako,Dada ako na watoto wenu.

hili hata usiliamini sana..........

wekeza ukiwa na nguvu zako , ukitulia uwe na cha kupigia bata mpaka unakufa.........
 
Back
Top Bottom