Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

Mtoto kafaulu serikalini, akakataa kwenda na nyie mkakubali aiseeh, he deserves to act like this, hata ningekuwa mm

Huyu mtoto kwa haraka haraka tu ukisoma maelezo ya huyu baba mdogo utaona kwamba walimuendekeza wenyewe wamemlea yale mazingira ya atakacho ndo anachopewa na haya sasa ndo matokeo yake
 
Huyu mtoto kwa haraka haraka tu ukisoma maelezo ya huyu baba mdogo utaona kwamba walimuendekeza wenyewe wamemlea yale mazingira ya atakacho ndo anachopewa na haya sasa ndo matokeo yake

Pengine walitaka kumfariji kwa njia hiyo kwa kuwa alipoteza wazazi, wenyewe walidhani kumpa mtoto kila atakacho ndo kumpenda na kumfanya ajisikie ana wazazi kumbe wanamuaribu.
 
Pengine walitaka kumfariji kwa njia hiyo kwa kuwa alipoteza wazazi, wenyewe walidhani kumpa mtoto kila atakacho ndo kumpenda na kumfanya ajisikie ana wazazi kumbe wanamuaribu.

Tena wamemuharibu hasa
 
Pole mpwa ILA next time usiweke details za kifamilia, sio Kila kitu ni cha kuweka hadharani, no matter how painful and frustrating IPO! Ni afadhali ukawa consult watu wachache au at least kutumia ule mtindo uliozoeleka wa "nimetumwa na rafiki yangu". Ni mtazamo wangu tu
 
Aisee, mi nilijikataa nikiwa 22. Lucky me nilikuwa nishapata kadigirii uchwara na jeuri ya chama!

ila hii behaviour ya kajamaa niliiacha nilipoenda form one na kugundua budgeting ni suala mtambuka
Nikiangalia what I had already achieved at that age....nabaki tu kumhurumia. Hivi King'asti home "tumefukuzwa" tukiwa na umri gani
 
Last edited by a moderator:
Ukipata mume wa hivi anapiga mtungi mshahara afu tarehe 10 anakuambia sina hata nauli ya kuendea kazini. Ukiendeleza kufuga itakula kwako!
Huyu mtoto kwa haraka haraka tu ukisoma maelezo ya huyu baba mdogo utaona kwamba walimuendekeza wenyewe wamemlea yale mazingira ya atakacho ndo anachopewa na haya sasa ndo matokeo yake
 
Hehe im loved kwa kudata kwangu bwana, who cares! Positive vibes for all the time! Lets move it!
Eti good people in a bad way, umedata.

We are bringing positive vibes in a negative time sio?
 
Kuna watoto wanasoma kwenye mazingira magumu na wana wazazi lakn mzazi hana huo uwezo wa kumpa hela ya ziada kwahyo wanatumia hilo hilo boom sembuse huyo yatima kapata familia inamjali kiasi hicho pamoja na madhaifu yake lakn bado analeta jeuri anataka kuwaendesha atajavyo, hapana its time apewe tough love ili ajifunze, me nazan endelee tu kuwa kimya usimuulize dada yako kitu chochote kuhusiana na huyo mtoto waache waendelee wenyewe na kwa tabia za huyo mtoto sasahv dada yako nae atajionea na yatamshinda
 

Ukiona yatima anadeka jua wajomba/shangazi/ba mdogo wako financially stable! Haya twende;

Kiongozi,
Kwa maelezo yako iko wazi kwamba umeplay parts zako ipasavyo yaani kuhakikisha anapata elimu tena bora pengine sawa na wanao wa kuzaa.

Ushauri wangu,Life is too short to get stressed mwache adengue tu kwa sasa lakini navyojua ipo siku atakaa na kuuona umuhimu wako especially akiingia kitaani na bahasha yake.

Mkuu,
I don't know the key to success but the key to failure is trying to please everyone!
 
Kwa siku HESLB wanatupatia 7500 ya kujikimu. Pesa hiyo haitoshi coz wameangalia gharama za vyakula vya kawaida tu.
Kwa chuo nachosoma....wali samaki tu ni sh. 5000
Hapo sijanywa maji wala asubuhi sijanywa chai wala jioni sijala. Kwa kujibana sana huwa natumia 10000 kwa siku minimum....... be reasonable

kama ni chuo sote tumesoma boom hiyohiyo ndo tulikua tunaripa kodi ya nyumba nauli pamoja na chakula lakini tulimaliza
 
masikini pole,jarbu kumtafuta cster wako muongee,na umuelezee yote yalitokea abt our son,na text alyoku2mia an den umckilize ataxemaje
 
wewe ni mzazi tu, text ya dec had nimejiskia vibaya amekiri kuwa wewe ni baba yake tu na yeye ni mtoto wako, kama anasoma mkoa ambao si mbal nenda kamuone just salamu tu ukipa na matumiz kidogo atafarijika kwan watoto yatima huadhirika sana kisaikolojia ikibidi hata umtaftie saikologisti, jitah mbali na mambo yake yote kuwa karibu nae hata kwa text. mwambie hata hi son unaendeleaje yaan atabadilika tu. pia rudisha ukaribu na dada yako kuoa si sababu ya kupunguza mawasiliano..kwan ndie kama mama yako kwa sasa na kosa ulilofanya my dia hukumwambia dada yako tokea mwez wa 9 hata kama ni mimi ningekulaumu.
 
Pole sana kwasababu nahisi dogo hajielewi bado,
 
wewe ni mzazi tu, text ya dec had nimejiskia vibaya amekiri kuwa wewe ni baba yake tu na yeye ni mtoto wako, kama anasoma mkoa ambao si mbal nenda kamuone just salamu tu ukipa na matumiz kidogo atafarijika kwan watoto yatima huadhirika sana kisaikolojia ikibidi hata umtaftie saikologisti, jitah mbali na mambo yake yote kuwa karibu nae hata kwa text. mwambie hata hi son unaendeleaje yaan atabadilika tu. pia rudisha ukaribu na dada yako kuoa si sababu ya kupunguza mawasiliano..kwan ndie kama mama yako kwa sasa na kosa ulilofanya my dia hukumwambia dada yako tokea mwez wa 9 hata kama ni mimi ningekulaumu.

Huo ni ujinga na siwezi ku incur cost zingine kwa hao masaikolojist sijui na nini wakati yeye ndie amekuwa kiburi mwili mzima, naamini umesoma hiyo key post pekee ukaamua kujibu, fanya kupitia hata replies zangu zingine katika hii thread then you will get to know some clues about the boy. kuhusu huyo dada sijui....
 
Sasa hii ndio update ya huu mkasa wangu ambao umeanzishwa na huyu dogo. Leo jioni around saa kumi wakati natoka kumwona wife wangu hospital nimepokea text nyingine kutoka kwa sister.
Text inasema hivi: "Sitaki nikusumbue ila naomba utakapopata pesa naomba nirudishie hela yangu niliyokuazima wakati wa maandalizi ya harusi yako"
Let me put this straight, wakati nakaribia kufunga harusi miaka 3 nyuma, dada yangu alinipa kama laki nne na wala hakusema kuwa ananikopesha ila alinipa tu kama kuniimarisha and she has been quiet ever since. My decision ni kuwa regardless ya hali ya mke wangu (ambaye kwa sasa yupo hispital na hajui hata kitu juu ya hii saga)nimeshatoa hicho kiasi kwenye moja wapo ya account yangu ya saving ipo tigo pesa kwa sasa tayari kwa kurusha.
Ila kwa upande mwingine mie naona kuwa hapa kuna ishu nzito nakaribia kuvishwa then wakileta vikao vya ukoo nakuwa the real culprit. kivipi maana hapo anataka nikimrudishia hiyo pesa bila ya kusema neno maana yake ni kuwa mie nitaonekana ya kuwa nina kiburi na jeuri ya pesa. Pia naona ya kuwa sasa dada ndio yupo kwenye jitihada za makusudi kuweza kusambaratisha familia for her personal interests.
Je nimtumie hizo pesa zake au niendelee kukaa kimya maana tangu nilivyoongea nae na kupandishiana nae sijawasiliana nae na pia ndio nilikuwa nafuata ushauri wa mwanajf mmoja alieamua kunipm na kunambia kuwa nivute subira siku tatu hizi ili wote tupoe ndio niende kwa dada kusort out ila naona sasa na hiyo inakuwa impossible maana tayari as I was ready for that for the betterment of the family.
Now the situation has turned from bad to worse. Michango na maoni tena kwa mara nyingine
 
Usimrudishie! Atakudai na viatu vilivyomruka akiwa std 6 ukamalizia. Muulize hela ipi manake hukunikopesha hata siku moja. kwa kumpigia simu. Then umueleze mkeo mgonjwa. Act normal and bussiness as usual!
 
Usimrudishie! Atakudai na viatu vilivyomruka akiwa std 6 ukamalizia. Muulize hela ipi manake hukunikopesha hata siku moja. kwa kumpigia simu. Then umueleze mkeo mgonjwa. Act normal and bussiness as usual!

Thanks for the advice mkuu. Kuhusu suala la mke wangu kuwa mgonjwa analijua sana and amazing enough hajawahi hata kumjulia hali maana wife sasa ana wiki yupo hospita and she knows it ila ndio hata kuja hakutaka na sana ndio analeta ujinga wake huo. kweli ukubwa wa pua...
 
Kwa jinsi nilivyofuatilia mtiririko wa stori yako ni kwamba chanzo cha mgogoro wako na dogo ni kuwa ameshindwa kuonyesha shukrani na kutambua juhudi za kumsaidia. Vilevile hata kutaka kuonyyesha dharau na kiburi kwako kama mzazi mlezi wake na Mamlaka yake ya nidhamu.

Tatizo ninalo liona ni kuwa huyo dogo tayari ana tatizo la ki nidhamu. Hivyo kwa sababu Sister wako alikuvisha jukumu la wewe kuwa mkuu wa familia jambo kama hili linapotokea mngepaswa nyinyi watu wazima wawili (wewe na dada yako) kuwasiliana mara moja na muweze kumpa huyo dogo msimamo wenu wa pamoja. Nazungumzia hili ni ikiwa na kumuonya kutambua na kuheshimu mamlaka yake ya nidhamu na kutambua juhudi za wanafamilia wanaomjali na kumsaidia.

Kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa wewe na dada yako na dogo mlifanya kikao mwezi wa Sept,2013 ( I assume that was your last family reunion/meeting among you three) Na juzi March 28, 2014 dada yako ndio anakuuliza wewe na dogo mmeongea lini mara ya mwisho. Just imagine? Ni muda gani hapo umepita bila hata mawasiliano juu ya dogo kati yenu nyinyi walezi wenza?

Hivyo wewe na dada yako ni walezi wenza hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kubadilishana taarifa juu ya mtu mnayemlea na kum sapoti kila mara ili kuhakikisha kuwa kila mtu ana taarifa na kile kinachoedelea. Isistoshe familia yenu ni ukoo umebakia na washirika watatu tu (wewe, dada yako na huyo nephew wenu) kulinganisha na familia nyingi za Tanzania.

Cha msingi kaeni chini na dada yako mjadiliane halafu wekeni kikao na dogo na ustaarabu uanzie hapo kwenda mbele.
 
Hoja sio yeye kuomba pesa nyingi lakini naona wewe ume overlap the fact kuwa mie nilikuwa tayari kulipa kama tu angetoa jibu kuwa jibu kuwa jambo nilililomwabia afatilie kama either kaweza au kashindwa. Lakini yeye akaamua kukaa kimya. Hii alikuwa anaashiria nini? jeuri. Pia kama hiyo message wala sio mkaa wa moto ila nimeieweka as evidence maana I know at some point itakuwa my point of reference.
So kusema kuwa nimemuabandon kwa ajili ya hiyo pesa wakosea maana kama nimeweza kumgharimia kwa pesa nyingine nyingi zaidi ya hiyo, kwanini nae asioneshe sense ya responsibility na appreciation upon the things I have done for him.
kweli baniani mbaya
Mkuu sioni ulipokosea kwani nashangaa kijana wa chuo kikuu bado anakuwa treated kama mtoto. Kijana mkubwa namna hiyo bado lina deka tuuuuuuu hadi hasira. Kama alikua anaumwa kwanini alishindwa kukujulisha , hata huyo dadako anashindwa kuangalia mambo kwa upana kwani hapaswi kukufokea hata kidogo kama wote nyie watu wazima alipaswa kukuuliza kwa staha then akajua kuna nini kati kati yenu. Dadako ana yake moyoni kwani sioni sababu ya kumhusisha mkeo ktk hili.

Mkuu jua kuwa tunaowalea siku zote hupenda kutugombanisha , mimi kuna mmoja huko nimemwambia mamake achangie nauli ya mtoto ya kwenda shule ila ada na mengineyo ntalipa. Ndugu yangu mpaka leo nimetengwa na kuonekana mbaya ilhali binti nimemtoa mbali na sasa anaenda kidato tano. Binadamu wana mambo mengi wengine hawana shukurani wala huruma juu ya wenzao sijui wanadhani pesa wenzao wanafanya kuchuma kama matembele.

Unachoweza kufanya wala usijipe stress ili mradi nafsi yako ina amani basi fanya unachoweza ktk hili nakukutetea kwani na yeye kijana alikua na wajibu wa kukujulisha juu ya afya yake au shida yoyote aliyo nayo. wengine waweza kukulaumu lkn wajaribu kuvaa kiatu chako ndipo watakapoelewa. Kijana wa chuo kikuu kubehave kama toto dogo , kuna wanafunzi wangapi wamefiwa na walezi wao na wana majukumu mbona wana ishi vizuri tu na kutimiza wajibu wao. Huyo kijana msipoangalia atawagombanisha . Ila wape muda usireact kwa chochote mwisho watakuja ona ni nini walichokua wanatetea.
 
Back
Top Bottom