kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,679
Mbona kuna wanaokula huko na hawaugui wala nini..kula wali samaki ndonguarantee kwamba ni wasafi.na huwezi kuugua? Unajua wanapikaje huko cafetaria?
Sijui cafe wanapikaje...lakini ni bora kwangu kula chuoni kuliko kijijini kwa mama ntilie