King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Tuondolee mashauzi hapa. Unapaswa kutumia kwa kadri ya kipato chako. Naweza kuwa natumia laki kwa siku lakini kwa sababu ninaafford. Hivi unajua kuna mtumishi analipwa laki na nusu kwa mwezi na ana mke na watoto wanasoma, anasaidia na mamake na mama mkwe?
tabia ya kutaka kuishi usivyomudu ndio inapelekea mabinti kuwa malaya! Ujiuze ili upate laki ya kutumia kwa wiki! I hope unajishaua tu humu na huu sio mtazamo wako, manake hatari inakunyemelea.
Kaizer, AshaDii, i miss u guys a lot. Mapenzi tele

jamani ww kaka hapo unaposema anatumia laki kwa wiki mbili afu unaona nyingi umekosea mim ni mwanafunzi trust me anajibana sana laki ni kwa wiki tena kwa matumiz ya kawaida no anasa afu hivi mtoto akinyea mkono utaukata naamin hutaukata ww kama mzazi inabd ukae nae uongee nae afu kma ni ishu ya hela kma mzazi unamwambia tu uwezo wako wa kutoa pesa ni upi nadhani atakuelewa
Last edited by a moderator: